Jumatano, 3 Mei 2017
TAARIFA KWA UMMA UTEUZI WA WAGOMBEA UBUNGE EALA
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) iliyokutana Zanzibar katika kikao chake cha siku moja, Mei 2, mwaka huu, imewateua wafuatao kuwa wawakilishi wa CHADEMA kugombea Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA);
1. Profesa Abdalla Safari
2. Salum Mwalim
3. Ezekia Wenje
4. Josephine Lemoyan
5. Lawrence Masha
6. Pamela Massay
Walioteuliwa watakamilisha hatua zingine...
Read moreJumamosi, 28 Machi 2015
Matumla ambonda mchina
Mohamed Matumla akijitahidi kumbana vyema mpinzani wake
Bondia Mohamed Matumla amefanikiwa kutoka kimasomaso baada ya kumchapa kwa points bondia mwenzake kutoka nchini China Wang Xin Hua katika mpambano wa raundi 10 uliofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jana usiku.
Mpambano...
Read moreLewis Hamilton aongoza kufuzu Malaysia Grand Prix
Bingwa wa dunia Lewis Hamilton ataanza wa kwanza kwenye mashindano ya Malaysia Grand Prix
Lewis Hamilton alishika nafasi ya juu kwa mara ya pili tangu aanze msimu wa 2015 kwenye mashindano ya kufudhu Malaysian Grand Prix yaliyokumbwa na mvua.
Sebastian Vettel
Bingwa huyo...
Read moreAlhamisi, 29 Januari 2015
Apple yapata faida dola bilion 18.8
Simu za Iphone 6 zimekuwa zikinunuliwa sana na kuwa chachu ya faida za kampuni ya Apple
Kampuni
ya kutengeza vifaa vya elektroniki, Apple, imetangaza kupata faida ya...
Read moreAkosa mchumba, ajioa
Yasmin
Eleby hakupata mchumba wa kumuoa mtu ambaye alitaka awe mume wake
atakapofikisha miaka 40--kwa hivyo akafanya kitendo ambacho
kimewashangaza wengi, aliamua kujioa mwenyewe.
Kwa mujibu wa mtandao wa
MySanAntonio.com,Eleby aliahidi kwamba ikiwa hatapata mchumba
wakati...
Read more
Jisajili kwenye:
Machapisho
(
Atom
)