Jumamosi, 28 Machi 2015
Matumla ambonda mchina
Bondia Mohamed Matumla amefanikiwa kutoka kimasomaso baada ya kumchapa kwa points bondia mwenzake kutoka nchini China Wang Xin Hua katika mpambano wa raundi 10 uliofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jana usiku.
Mpambano huo ulikuwa ni wakuwania nafasi ya kucheza katika pambano la utangulizi kwenye mpambano mkali na unaosubiriwa kwa hamu na wapenzi wengi wa masumbwi duniani kati ya mabondia Floyd Mayweather, Jr. na Manny Pacquiao unakaochezwa mapema Mei 2, mwaka huu, huko Las Vegas, Marekani.
No related posts
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni