Alhamisi, 12 Juni 2014

Kobe Bryant avunjiwa rekodi NBA



Mchezaji wa San Antonio Spurs, KAWHI LEORNARD, amevunja rekodi ya mchezaji wa kikapu mwenye umri mdogo zaidi kufunga points 29 katika Fainali ya ligi ya NBA, rekodi ambayo ilikuwa imewekwa na Kobe Bryant mwaka 2001

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni