moto huo ambao ulianza kuwaka majira ya saa 4 za usiku huku wananchi wakijaribu kuuzima bila mafinikio
zima moto walifika na kuudhibiti moto huo ambao ulianza pia kuingia katika kiwanda cha bia jirani na soko hilo ingawa haukuleta madhara makubwa.
Taarifa zinasema kuwa hakuna kibanda kilichosalimika wala hapakuwako na mtu aliyenusuru mali zake sokoni hapo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni