Jumapili, 6 Julai 2014

diamond KUTOA VIDEO MBILI KWA MPIGO SIKU YA KUZALIWA YA MAMA YAKE

dimo2
Mama yake Diamond amezaliwa tarehe 7/7 na siku hiyo Diamond amepanga kufanya kitu kikubwa akiwa  anasherekea. Mwaka huu anafanya kitu ambacho hadi mashabiki zake watafurahia siku hiyo na hii ni nafasi yako kukijua.
dimo1

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni