"Hapana, hivyo ndivyo nilimjibu hata Van Gaal, ninafuraha Bayern , i
ngawa ameniambia wakati wote nitakapobadili maamuzi milango ipo wazi kwa ajili yangu" alijibu Robben alipoulizwa juu ya uwezekano wa kujiunga na Manchester United
"Yeye (Van Gaal) ni bonge la kocha na tuna mahusiano mazuri" aliongeza
"Baada ya mechi aliniambia nimfuate Man U, lakini siwezi kuhama niko sehemu sahihi kwahiyo sitaenda Man U au kwa Van Gaal"
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni