Klabu ya Chelsea imeingiza faida ya pauni milioni 141(Tshs bilioni 352.5) tangu mwezi January mwaka huu.
Kwa kupitia mauzo ya wachezaji watano ambao hawakuepo katika mipango ya kocha Jose Mourinho tangu alipotua katika klabu hiyo msimu wa 2013/2014.
Nyota hao ni pamoja na David Luiz (PSG Tshs bilioni 125), Juan Mata (Man-U, Tshs bilioni 92.5), Demba Ba (Besiktas Tshs bilioni 20), Romelu Lukaku (Everton, Tshs bilioni70).
Na Kevin De Bruyne (Wolfsburg ,Tshs bilioni 45), aliyecheza mechi mbili pekee katika mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya Uingereza msimu wa 2014/2015.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni