Ijumaa, 1 Agosti 2014

PICHA : Alivyowasili Jose Chameleone jijini Dar es salaam


Msanii Jose Chameleone amewasili Tanzania usiku wa july 31 kwaajili ya show yake moja atakayoifanya Ijumaa hii August 1 pale New Maisha Club ya Dar na siku ya Jumamosi atakuwepo mjini Dodoma

DSC_1278


DSC_1287
DSC_1280

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni