Ijumaa, 13 Juni 2014
Capello amfunika Hodgson kwa mshahara mkubwa
Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza Fabio Capello ndiye anaongoza kwa kulipwa vizuri.
Hii ni rekodi aliyoiweka na kuwa miongoni mwa makocha wote wa timu za taifa zinazoshiriki Kombe la Dunia mwaka huu nchini Brazil.Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza, Roy Hodgson analipwa pauni Milioni 3.5 kwa mwaka.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni