Sports and Entertainment

Ijumaa, 1 Agosti 2014

X VS Y :BAKHRESA VS METL: KUSHOTO SAID SALIM BAKHRESA KULIA MOHAMED DEWJI, MBELE AZAM NYUMA MO BATTLE YA BIASHARA YENYE TIJA TANZANIA

Hakuna maoni :









































Azam Milk


Said Salim Awadh Bakhressa , alizaliwa mwaka 1949 huko visiwani Zanzibar huyu ni gwiji wa biashara Tanzania , mmliliki na mkurugenzi wa makampuni ya Bakhressa Group
alipokua na miaka 14 tu, aliamua kuachana na masomo ili aweke nguvu zaidi katika biashara na sasa ni mfanyabiashara mfano wa kuigwa Tanzania,East Africa na nchi zaidi ya Tano Africa,

 alianza kuuza viazi baadae katika miaka ya 70 Bakhressa alianza kujihusisha na uuzaji wa migahawa , baadae alijiikita katika uzalishaji ambapo hadi leo hii nchi ya Rwanda inamtegemea katika chakula akisambaza zaidi ta Tani 120,000 za chakula kwa mwaka

Bakhresa pia anasifika katika kulipa vizuri na kuwajali wafanyakazi wake sambamba na mishahara minono na bonus kibao ikiwa ni moja kati ya siri za mafanikio yake

Kupitia brand yake ya azam ametengeneza ajira zaidi ya 2000, pia ametengeneza bidhaa kibao zili






Mbali na Bakhresa pia kuna kijana , huyu ana miaka 39 tu! tayari ameshatengeneza historia ya kipekee Africa nzima, ndiye kijana tajiri zaidi AFRICA , tunae hapa Tanzania, ni tumaini la biashara na mfano wa kuigwa kweli kweli , tayari ameshaajiri vijana zaidi ya 20,000

akiwa  na utajiri unaokadiriwa kuwa ni zaidi ya trilioni moja Kijana huyu amefanya vema sana katika upende wa biashara kwa kuvuka malengo ya kile anachoendeleza kutoka kwa baba yake




makampuni yake yametengeneza bidhaa nyingi sana kukidhi mahitaji ya Watanzania wengi,,, huyu ni Mohammed Dewji ,
Mbunge wa jimbo la Singida na pia Mmilikii wa makampuni ya Metl


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni