Sports and Entertainment

Ijumaa, 13 Juni 2014

Jennifer Lopez na Pittbul wafanya kweli BRAZIL

Hakuna maoni :
Pop trio star in spectacular opening ceremonyMkali wa pop jennifer lopez na mwimbaji Pittbul walikuwa kivutio wakti wa ufunguzi wa michuano ya kombe la Dunia katika uwanja wa Arena Corinthias Sao Paulo.

nyota maarufu duniani waliungana na mwimbaji Brazil Claudia Leitte mbele ya umati wa watu uwanjani hapo.

sherehe ilianza masaa mawili kabla ya mechi ya ufunguzi Brazil ya dhidi ya Croatia katika kundi A, kwa kuanza na ujumbe kuwakaribisha watu  katika lugha za nchi zote 32 zinazoshiriki katika fainali hizo.

Baada ya hapo kulikuwa na heshima ngoma na mambo mengi ya kuihusu Brazil.

baadae ilikuja sehemu ya kujitolea na kama wasanii 500 na 800 wa kundi la Paulista walijumuika na kuweka historia nchini humo.

Lakini kilichoacha watu midomo wazi ni vile wanamuziki hao walivyokuwa wakitoka ndani ya mpira mkubwa zaidi ya yote mmoja baada ya mwingine na baadae kidogo mechi hiyo ilipigwa,

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni