Ijumaa, 13 Juni 2014
Michael Jordan naye awa bilionea wa NBA
aliyekuwa mchezaji nguli wa mpira wa kikapu Michael Jordan, ametimiza ndoto yake ya muda mrefu ya kumiliki ligi ya mpira wa kikapu ya marekani maarufu kama NBA, Jordan amekuwa mmoja wa wamiliki baada ya michujo kadhaa kupita. Jordan bado ina mikataba na Gatorade, Hanesi na Upper Deck, lakini Nike ni moja kati ya mikataba yake minono MJ. Brand ya Jordan inaipatia Nike mauzo ya ni dola bilioni.
hii inamaanisha kwamba Michael JORDAN, naye ataungana na mabilionea wengine ulimwenguni kwa kufikisha kiasi cha zaidi ya dola bilioni moja.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni