Ijumaa, 13 Juni 2014
MWANAMUZIKI WA NIGERIA AAGA DUNIA
mwanamuziki wa wa injili wa nigeria Kefee Obareki don-momoo amefariki dunia nchini Marekani.Akijulikana zaidi kama "Branama Queen" inasemeka aliugua akiwa ndani ya ndege kuelekea Marekani wiki mbili zilizopita.
Alikuwa mke wa DJ Teddy Don-Momoh, na nyimbo zake zilizotamba sana ni Branama na Kokoroko.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni