Alhamisi, 19 Juni 2014
SPAIN ARE UOT
Spain wamefungwa mabao mawili dhidi ya chile katika mchezo ambao walitakiwa washinde ili kujihakikishia nafasi ya kutetea ubingwa lakini baada ya vipigo viwili vya kushtukiza , mabingwa watetezi wameaga rasmi mashindano hayo na wanakuwa wa kwanza kufungasha virago
Hii ni mara ya kwanza kwa bingwa mtetezi kufungwa mara mbili mfululizo katika hatua ya makundi,
Spain 0 - 2 Chile
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni