Sports and Entertainment

Jumamosi, 21 Juni 2014

UFARANSA 5 - 2 USWIS

Hakuna maoni :

Bao la Benzema lafutiliwa mbali lakini ufaransa inailaza Uswisi 5-2
Ufaransa imejikatia tikiti ya kusonga mbele ikiongoza kundi lake licha ya kuwa na mechi moja imesalia dhidi ya Equador .
Switzerland imebakia ya pili ikiwa na alama tatu na hivyo hainabudi kushinda mechi yao ijayo dhidi ya honduras kujihakikishia nafasi katika 16 bora.

23:51Mechi imekamilika huku bao la Karim Benzima likikataliwa katika sekunde ya mwisho wa mechi hiyo.23:52 Ufaransa 5-2 Switzerland
23:46 Ufaransa 5-1 Switzerland 87
23:46 Xhaka anaifungia uswisi bao la pili
23:42 Blerim Dzemaili anafunga kutoka kwenye Freekick
23:51 Blerim Dzemaili anaifungia Uswisi bao la Kufutia Machozi
23:40 Ufaransa 5-1 Switzerland 81''
23:39 Uswisi wanapata bao la kufutia machozi
23:34 Ufaransa 5-0 Switzerland 73''
23:30 Moussa Sissoko anaifungia Ufaransa bao la 5
23:30 GOOOOOOAL
23:30 Ufaransa wanafanya mashambulizi tena
23:30 Patrice Evra anapoteza nafasi ya kuifungia Ufaransa bao la tano
23:28 Ufaransa 4-0 Switzerland 68'
23:24 Karim Benzema anaifungia Ufaransa bao la nne akisaidia na Paul Pogba
23:22 Mamoudo Sakho anaondoka uwanjani
Ufaransa inaongoza Uswisi mabao 3-0
23:21 Paul Pogba anachukua pahala pa Olivier Giroud
23:18 Ufaransa bado wanaongoza kwa mabao matatu ya kipindi cha kwanza
23:17 Benzema anapiga nje
23:17 Evra anafungua kwa kasi shambulizi la Ufaransa
23:16 Freekick kuelekea lango la Ufransa ,Giroud ndiye mwenye kosa
23:14 Shakiri anapa mpira wa kutupwa kuelekea lango la Ufaransa
23:13 Gökhan Inleranaongoza mashambulizi ya Waswisi lakini wapi inazimwa tena na Sissoko
23:09 Switzerland wanapata kona wakiendelea kuuliza Ufaransa maswali
23:09 Ufaransa 3-0 Switzerland
23:06 Giroud anapoteza nafasi ya kukamilisha kichapo hicho
23:04 Ufaransa bado wanaongoza kwa mabao 3-0 Switzerland
23:03 Switzerland wanafanya mashambulizi ya mapema .
23:02 Kipindi cha pili kinaanza Fonte Nova
22:45+2 Ufaransa 3-0 Switzerland
22:45+2 Benzema anafanya shambulizi la mwisho kabla ya kipa kupiliza kipenga cha mwisho
Matuidi ikashangilia bao la pili la Ufaransa
22:45+1 Ufaransa 3-0 Switzerland
22:45 Kipindi cha kwanza kimekamilika
22:44 Switzerland sasa wanaogopa kufanya mashambulizi huku wakifahamu kasi wanayoshambulia nayo hawa wafaransa
22:41 Ufaransa 3-0 Switzerland
22:40 Ufaransa wanapata bao la tatu baada ya fastbreak
22:40 GOOOOOOOAL
22:32 Benzema anapoteza penalti
22:31 Ufaransa wanapata Penalti
22:31 Bemzema anaangushwa na refarii anasema ni penalti
22:30 Benzema anashambulia lango la Switzerland
22:30 Ufaransa 2-0 Switzerland ''
22:28 Shakiri anapoteza nafasi ya wazi ya kufunga bao la kwanza la Switzerland
22:27 Bao la Switzerland lililofungwa na Xhaka linakataliwa
22:26 Offside !
22:26 Freekick kuelekea lango la Switzerland
22:24 Ufaransa inaendelea kutekeleza mashambulizi kwa safu ya Switzerland
22:19 Ufaransa 2-0 Switzerland
22:18 Balise Matuidi anaifungia ufaransa bao la pili
Ufaransa inakabiliana na Switzerland
22:18 GOOOOOOOAL
22:17 Ufaransa 1-0 Switzerland
22:16 Olivier Giroud (France)
22:16 GOOOOOAL
22:15 KONA kuelekea upande wa Switzerland
22:04 Switzerland inalazimika kufanya badiliko la mapema baada ya Steve Von Bergen Kujeruhiwa na Cohan Cabaye
22:03 Kocha wa Switzerland Ottmar Hitzfeld anatafuta tikiti yake ya kwanza ya 16 bora
22:03 Mechi imeanza
Ufaransa inakabiliana na Switzerland
22:00 Switzerland nayo iliishinda Equador 2-1 katika mechi yake ya ufunguzi
22:00 Ufaransa ilishinda mechi yake ya kwanza 3-0 dhidi ya Honduras
22:00Ufaransa inapambana na Switzerland katika mechi ambayo lazima washinde ilikuimarisha nafasi ya kusonga mbele katika raundi ya pili ya kombe la dunia

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni