Sports and Entertainment

Jumatano, 11 Juni 2014

Ulaya washinikiza blatter ajiuzulu

Hakuna maoni :



 raisi wa shirikisho la mpira wa miguu Duniani,FIFA,
Sepp Blatter

Maafisa wa kandanda wa Europa Sasa wamemtaka Rais wa shirikisho la kimataifa la kandanda FIFA, Sepp Blatter, ajuzulu kutokana  Madai ya rushwa yanayoindama Fifa.

Wametilia shaka uongozi wake.
MKUU wa Chama Cha Soka cha uholanzi Michael Van Praag, amesema Chini ya uongozi wa Blatter, Fifa imeandamwa tuhuma za rushwa ILI Fifa kujisafisha Ni sharti Blatter angatuke.

Kwa upande wake mwenyekiti wa Chama Cha Soka Uingereza, Greg Dyke, ameshutumu kauli ya Blatter kuwa Madai ya rushwa kuhusiana kuchaguliwa kwa Qatar kuwa mwenyeji wa Kombe la Dumia 2022 yanayoripotiwa katika magazeti ya Uingereza yamechochewa na ubaguzi wa rangi.

Blatter anatarajiwa kutangaza NIA YAKE ya kuwania Nafasi kipindi cha tano kuingoza Fifa katika UCHAGUZI wa Fifa unaotarajiwa kufanyika Mwaka ujao.

Kwa Sasa wajumbe wa Fifa wanavikao huko Sao Paulo wakijiandaa to ufunguzi wa Kombe la Dumia hapo kesho ambako Sepp Blatter ya pia amekuwa akitoa Cheche za Maneno dhidi ya Wale wanaoisema vibaya Fifa

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni