Alhamisi, 12 Juni 2014
Watu mashuhuri waliozaliwa June 12,
wafuatao ni watu ambao wamezaliwa siku kama ya leo miaka kadhaa nyuma, kwa hiyo leo wanasheherekea siku yao ya kuzaliwa, ungana nao mastaa wafuatao
Mark Henry , Mwanamieleka, WWE,miaka 42

mchezaji nyota wa Liverpool, Phillipe Coutinho, miaka 21

Mchekeshaji Richard Ayoade, miaka 36

Raisi wa zamani wa marekani, George H.W Bush,miaka 89
mchezaji wa inter milan,Diego Milito,miaka 34

mfanyabiashara , David Rockefeller, miaka 98
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni