Jumanne, 15 Julai 2014
BONGO MOVIES
Ingawa hii inaweza kuwa ngumu kidogo, Lakini unatakiwa kujitaidi kubadili aina ya maisha uliyonayo., baada ya muda mfupi utajikutaukiwa mtu tofauti kabisa na maisha utayaona rahisi kabisa …
Alifanya kila alipendalo ilimradi ampate, iajapokuwa alikuwa mlevi, muhuni anayependa anasa kupindukia ilimlazimu kuachana navyo na kumfuata kule alipo, baada ya kufungua ndo ammanuel kijana mwenye uchu wa pombe na anasa anashindwa kuficha makucha na kujikuta anarejea kulekule pa mwanzo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni