Sports and Entertainment

Jumamosi, 26 Julai 2014

DRAKE : J COLE & I AM THE KING OF RAP

Hakuna maoni :

Rapper kutoka kundi la Young Money Drake anasema Yeye na J Cole ndio Wafalme wa muziki wa Rap Marekani. Drake amesema haya baada ya kufanya show na Rapper J Coleambayo pia rapper Kendrick Lamar alikuwepo kwenye ziara hio ya “Dollar & A Dream”

19
Ripota wa kituo cha radio cha Los Angeles Power 106 Rikki Martinez amesema Drake alipanda kwenye jukwa na J Cole wakati Kendrick Yupo back stage na kusema kuwa “Kuna wafalme wawili kwenye rap game kwa sasa ambao ni Yeye ‘Drake’ na J Cole”

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni