Hivi sasa Weezy yupo kwenye headline kwa tetesi zinasema kwamba yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na msanii Christina Millian. Sasa watu wengi wamependa kujua historia ya kimapenzi ya hawa wawili.
Kwa upande wa historia ya mahusiano ya Lil Wayne hawa ndio wanawake 9 aliwahi kuhusika nao kimahusiano waziwazi na wengine zilibaki kuwa tetesi.
Adrienne Bosh alikuwa na mahusiano na Lil Wayne kabla hajaolewa na mcheza kikapu Chris Bosh
Huyu ni video model
Karrine Steffans ambaye alikuwa na mahusiano ya wazi kabisa na Lil Wayne
Actress Megan Good alikuwa kwenye mahusiano na Weezy kwa muda wa miaka 3
Kwa mcheza kikapu Skyler Diggins zilikuwa ni tetesi kwamba ana uhusiano na Lil Wayne
Rapper Trina aliwakuwa na uhusiano na Weezy hadi aliwahi kupata ujauzito wake lakini bahati mbaya ujauzito uliharibika.
Uhusiano wa Lil Wayne na muigizaji Lauren London ulileta matunda ya mtoto Cameron Carter
Lil Wayne alivisha hadi pete
Nivea mwaka 2002.
Huyu ni mama wa mtoto wa kwanza wa Wayne anaitwa
Reginae
Hivi sasa tetesi zipo kati ya Wayne na Christina Milian
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni