Jumapili, 6 Julai 2014
TETESI 5 ZA USAJILI
1.Arsenal Wameelekeza kulazimisha usajili wa kipa nguli wa mabingwa wa soka Ulaya Real Madrid2.Huenda Galatasaray wakafanikiwa kumnasa Martin Skrtel Kutoka Liverpool baada ya kumuahidi mshahara mnono
3.wamiliki wa Saini ya mchezaji Daryl Janmaat wameiambia Mancheester United
kumchukua ama kumuacha mchezaji wao
4.Barcelona watapunguziwa dau la Luis Suarez ikiwa Sanchez atazigome timu zingine
5. baada ya kunogewa na huduma ya Mesut Ozil, Timu ya Arsenal wameikomalia madrid ili iwauzie kiungo Semi Khedira
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni