Jumamosi, 2 Agosti 2014
Hamas : hatujateka mtu yeyote
Wapiganaji wa Palestina Hamas wamesema kuwa hawana habari kuhusu mwanajeshi wa Israel ambaye anadaiwa kutekwanyara katika eneo la Gaza.
Hamas imesema kuwa mwanajeshi huyo Hadar Goldin hueda aliuawa katika mapigano katika eneo la Gaza.
Wapalestina wanasema kuwa zaidi ya watu tisaini wamueuawa katika mashambulizi ya Israel kufuatia kukiukwa kwa makubaliano ya kusitisha vita hapo jana yaliotarajiwa kutekelezwa kwa siku tatu.
Rais Obama amesema kuwa atafanya kila awezalo kuhakikisha makubaliano mapya yanafanyika.
Amesema inahuzunisha kuona vile raia wanavyopoteza maisha yao katika eneo la Gaza,lakini akaongezea kuwa Hamas lazima ionyeshe kwamba inataka kusitsha vita.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni