Ijumaa, 1 Agosti 2014
mdada ajichora tatoo ya Davido kiunoni,,,
Katika kile kinachoonyesha kuwa ni shobo kwa msanii Davido mdada huyu maarufu hapa bongo kwenye Tasnia ya Bongo Movies amechora tatoo kiunoni ambayo ina jina la msanii davido, huku watu wakimponda kwamba hizo ni ndoto na wala davido hajui hata kama kuna mtu kama yeye duniani, lakini mwenyewe amedai ni kushow love, ipo tu siku atachora ya diamond au alikiba
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni