Ijumaa, 1 Agosti 2014
sylivestre auponda usajili wa Sanchez Arsenal
Mchezaji wa zamani wa Arsenal Mikael Silvestre amedai haoni sababu ya klabu hiyo ya soka yenye makazi yake jijini london kumchukua mchezaji Alexis Sanchez wakati kuna wengine wengi klabuni hapo wenye uwezo kama yeye
"Wana wachezaji wenye wanaokimbia sana, wenye umakini , wapo pale akina Walcott, Aaron Ramsey, Mesut Ozil na Santi Cazorla"
"wanachotakiwa kufanya ni kumtafuta mbadala wa olivier Giroud , nadhani hapo ndipo wapaangalie"
"Sanchez baada ya kufanya poa kombe la Dunia angeenda katika klabu nyingine tu, sidhani kama Arsenal wanahitaji mchezaji wa aina yake"
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni