Jumanne, 5 Agosti 2014
vifusi vya Ubungo terminal vyazidi kuwaduwaza watu
Watumiaji wa kituo cha mabasi ya mikoani na nchi jirani cha Ubungo jijini Dar es salaam wakiwemo madereva, abiria, na wakatisha teketi wameshangazwa na kitendo cha kituo hicho kwa sasa kugeuzwa sehemu ya kuhifadhi vifusi vya udongo jambo ambalo limewashangaza kwa nini zoezi hilo linaendelea kutokana na vifusi hivyo kutokutumika ndani ya kituo hicho.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni