Bonanza

Sports and Entertainment

Jumanne, 29 Julai 2014

SEVEN MISTAKES MEN MAKE

Hakuna maoni :

Mistake 1: Assuming You Know How to Please a Woman

some men assume that the way they've learned to please one woman works for all women. Not so.

Windows 8 Died at Launch, Microsoft Moves on to Windows 9

Hakuna maoni :
View photo
.
Windows 8 Died at Launch, Microsoft Moves on to Windows 9
Windows 8 Died at Launch, Microsoft Moves on to Windows 9
Microsoft attempted something different and daring with Windows 8. It introduced a whole new interface and means of interaction with your PC that was identical to a smartphone or tablet. It threw out the “Start” menu and mouse-driven interface people had used for decades in favor of a touch-driven interface with tiles, some of which received active information updates.

DUDUBAYA : Diamond na Ali Kiba Mnapendwa sana wadogo zangu, Pigeni Hela

Hakuna maoni :

Dudubaya anajulikana kama mmoja wa Wasanii wa siku nyingi bongoflevani ambae pamoja na headlines zake binafsi huwa anasikika mara chache akizungumzia au kutoa ushauri kwa ishu kadhaa za Wasanii wenzake.

Jumatatu, 28 Julai 2014

Watu Maarufu waliozaliwa tarehe 28 Julai

Maoni 1 :

Daniel Cleverest, Miaka 21


Kelvin Rwezaura, Miaka 21


Trinitus Kalatunga, Miaka 21

Taarifa ya kesi za kusambaza picha za utupu, kuuza binadamu, vitisho, zilizofunguliwa dhidi ya Eto’o

Hakuna maoni :
pix_1402578975e131615_1Huu unaweza sio mwaka mzuri kwa mshambuliaji wa kimataifa wa Cameroon Samuel Eto’o, baada ya timu yake ya taifa kufanya vibaya kwenye michuano ya kombe la dunia, na akiwa hana timu ya klabu ya kuichezea baada ya kumaliza mkataba wake na Chelsea, sasa amefunguliwa kesi nzito mahakamani.

Jumapili, 27 Julai 2014

Lulu afunguka kuhusu mahaba yake kwa Ali Kiba

Hakuna maoni :
Elizabeth Michael ‘Lulu’.

Jaydee na Diamond washinda tuzo

Hakuna maoni :

Tuzo za African Music Magazine ambazo mwaka huu zilihusisha kazi za Watanzania Diamond Platnumz na Lady Jay Dee zimefanyika na habari njema ni kwamba Diamondameshinda tuzo mbili ambazo ni Msanii bora wa Afrika Mashariki na Tuzo ya Wimbo bora wa kushirikiana ‘Number One Rmx’ Aliyomshirikisha Davido Kutoka Nchini Nigeria.