Alhamisi, 29 Januari 2015
Obama azua gumzo Saud Arabia
Michelle Obama wakati wa Ziara ya Rais Obama Saudi Arabia
Mkewe
Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama alipowasili nchini Saudi
Arabia na mumewe bila ya kujitanda kichwa chake kwa kitambaa, wengi
walitarajia kwamba mitandao ya kijamii nchini...
Read moreJumanne, 13 Januari 2015
Ronaldo wins Ballon d'or
Real Madrid attacker Cristiano Ronaldo has won the 2014 Fifa Ballon d'Or ahead of Bayern Munichgoalkeeper Manuel Neuer and Barcelona forward Lionel Messi, scooping up the prestigious individual award for the third time in his career.Ronaldo...
Read moreAlhamisi, 11 Desemba 2014
Dr.dre ndiye mwanamuziki alieingiza pesa nyingi kuliko wote Duniani
nullBaada ya kuongoza kwenye orodha ya ‘Forbes’
Hip-Hop Cash Kings’ miezi kadhaa iliyopita ,
producer mkongwe, rapper na mfanyabiashara Dr.
Dre ameongoza tena kwenye orodha nyingine ya
Forbes ya wanamuziki wanaolipwa zaidi ‘Forbes
World’s Highest Paid Musicians 2014’.
Dr. Dre amekamata nafasi hiyo kwa kutengeneza
$ 620 million mwaka huu, Kiasi ambacho
kimechangiwa zaidi na deal yake...
Read moreJumamosi, 6 Desemba 2014
wanawake wasisitizwa kutofumbia macho rushwa ya n gono
Mwanadada wa muziki wa kizazi kipya Meninah Abdulkareem ‘Meninah,’ amewatolea uvivu ‘maprodyuza’ wanaopenda rushwa ya ngono, akisema kwake hawatafanikiwa.
Amesema anakerwa na tabia hiyo na inaweza kumfanya msanii akate tamaa ya kufanya muziki kwa ajili ya tabia hizo.
Akizungumza...
Read moreMchezaji afariki baada ya kupigwa kichwa
Mchezaji Franco Nieto aliyefariki baada ya kupiwa na jiwe kwenye kichwa wakati wa mechi nchini Argentina
Mchezaji wa Argentina Franco Nieto ,mwenye umri wa miaka 33 amefariki baada ya kupigwa kwenye kichwa wakati wa mechi siku ya jumamosi.
Nieto ,nahodha wa kilabu ya kijimbo ya Tiro...
Read moreTata Martino ajutia msimu wake mbaya Barca
Kocha wa zamani wa magwiji wa soka la Hispania, Barcelona ; Tata Martino amedai kwamba anajutia msimu mbaya aliokumbana nao wakati yuko katika klabu hiyo, Martino mwenye miaka 52 amesema kuwa licha ya kufanya kwake hovyo lakini angepewa muda hadi sasa mambo yangekuwa shwari Catalan
"Kutokana...
Read moreSserenkuma atua Simba
Mshambuliaji matata wa kilabu ya Gor Mahia nchini Kenya Dan Sserenkuma aihama kilabu hiyo na kujiunga na Simba SC ya Tanzania
Aliyekuwa Mshambuliiaji wa mabingwa wa soka nchini Kenya Gor Mahia Dan Serenkuma amejiunga na kilabu ya Tanzania Simba SC.
Raia huyo wa Uganda alijiunga na...
Read more
Jisajili kwenye:
Machapisho
(
Atom
)