Alhamisi, 12 Juni 2014
"Amani na itawale Kombe la Dunia" - Baba Mtakatifu Papa Fransis wa kwanza akiitakia heri Dunia kupitia michuano hiyo
Papa Francis,ambaye ni shabiki mkubwa wa klabu ya San Lorenzo ya Argentina,ametangaza ujumbe kabla kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia, na ana matumaini kila kitu kitaenda sawa na amani na iatatawala kuweka Dunia pamojakupitia Kombe la Dunia.
"Matumaini yangu ni kwamba, mbali na kuwa sikukuu ya kimichezo, Kombe la Dunia linaweza kuwa sikukuu ya mshikamano miongoni mwa watu. Michezo ni shule ya amani. Neema hiyo inatufundisha kujenga amani."
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni