Alhamisi, 12 Juni 2014
LEO ndio LEO, Brazil na Crotia kufungua pazia la kombe la Dunia
Wenyeji Brazil watapambana na Croatia katika mechi ya ufunguzi ya Kombe la Dunia usiku wa leo saa Tano saa za Afrika Mashariki.
Brazil wanatarajia kuanza na kikosi kile kile kilichoichapa Spain katika fainali ya Kombe la mabara -Confederation- mwaka jana.
Hii inamaanisha Oscar huenda akaanza licha ya 'form' yake kupungua hivi karibuni, na licha ya vyombo vya habari vya Brazil kumpendekeza Willian.
Croatia hawatakuwa na Mario Mandzukic anayetumikia adhabu, hivyo Nikica Jelavic au Eduardo huenda wakaanza.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni