Jumatano, 11 Juni 2014
Louis Van Gaal amtaka Sanches Man U
Louis Van Gaal ameonesha nia ya kumsajili kwa pauni million 20 mshambuliaji wa Barcelona Alexis Sanches Japokuwa NIA ya United haijafikia hatua zozote za Juu, meneja huyo ameonyesha kumhusudu mchezaji Huyo wa kimataifa wa Chile, ambaye atavaana Rangi Kikosi cha Uholanzi cha Van Gaal wakati wa Kombe la Dumia.
United wanataka kuwauza Mmoja au wawili wa wachezaji wake ILI kuhakikisha Kikosi hiko kinakuwa Imara atakapowasili Sanchez. Hiyo inamaanisha kuwa Nani, Ashley Young, Antonio Valencia, Shinji Kagawa, PAMOJA washambuliaji Javier Hernandez Rangi Danny Welbeck, watakuwa hatarini wakati kocha huyo akitathmini Kikosi kipya atakachotaka kicheze.
Van Gaal Mara kwa Mara, amekuwa akitumia mfumo wa 4-3-3, ikiwa na maana kuwa anahitaji mshambuliaji Mmoja tu, Huku timu hiyo ikitilia mkazo kupanua Uwanja. Alipokuwa Bayern Munich aliweza kuwatumia Franck Ribery na Arjen Robben kwenye mfumo wake.
Sanchez, 25, akiwa miaka mitatu Barcelona, anafaa kuwa kwenye Kikosi cha Van Gaal anachopendelea kiwe vijana Zaidi.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni