Sports and Entertainment

Alhamisi, 12 Juni 2014

moto wateketeza soko la karume

Hakuna maoni :
Muunganiko wa picha mbalimbali za kuungua kwa soko maarufu la Karume jijini Dar Es Salaam lililoungua usiku wa kuamkia leo. Taarifa News inafuatilia kujua chanzo cha moto huo.




moto huo ambao ulianza kuwaka majira ya saa 4 za usiku huku wananchi wakijaribu kuuzima bila mafinikio
zima moto walifika na kuudhibiti moto huo ambao ulianza pia kuingia katika kiwanda cha bia jirani na soko hilo ingawa haukuleta madhara makubwa.

Taarifa zinasema kuwa hakuna kibanda kilichosalimika wala hapakuwako na mtu aliyenusuru mali zake sokoni hapo

Moto mkali ukiwaka kwenye soko la Karume jijini Dar Es Salaam. Chanzo cha mto huo hakijajulikana.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni