Sports and Entertainment

Alhamisi, 12 Juni 2014

PICHA : muonekano mpya wa soko la karume baada ya kuungua kwa moto

Hakuna maoni :
Vitu vyangu vyote vimeteketea basi niambulie hata misumari, hayo ni maneno ya mfanyabiashara wa soko la Karume
Moto sio tuu umeunguza soko na mali za wafanyabiashara bali hata mabango ya matangazo yalikuwepo katika eneo hilo yameungua moto kama unavyoyaona picha.
Watu wakionekana kusikitishwa na hali hiyo ya kuungua moto kwa soko maaarufu la Karume, moto ulitokea usiku wa kuamkia leo Alhamisi.
Baadhi ya masanduku ya kuhifadhia nguo yakiwa yameteketea kwa moto.
Baadhi ya wananchi na wafanyabiashara wa soko hilpo wakionekana kushikwa na bumbuwazi kwa kutooamini kile wanachokiona.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni