Ijumaa, 20 Juni 2014
PICHA : magari mapya ya P Square
Peter Okoye wa P Square ameonesha magari mapya ya kifahari yaliyoingia hivi karibuni katika gereji ya familia yao.
Amepost katika Instagram picha kadhaa zinazoonesha magari hayo na kuandika maelezo yanayoonesha ni magari yaliyoingia katika jumba la Square Ville hivi karibuni na sio magari yote wanayomiliki.
“Crazy Squareville…New Arrivals…Don’t worry God will do same for u… #hardwork”
Magari mapya aliyoonesha ni pamoja na Wrangler Jeep ya mwaka 2014 ambayo kwa sasa inauzwa zaidi ya $22,395 na Bentley ya mwaka 2014 ambayo inauzwa kuanzia $177,50.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni