Sports and Entertainment

Ijumaa, 20 Juni 2014

"SUPER MARIO" Atuma ujumbe wa utata kwa malkia Elizabeth

Hakuna maoni :

Mario Balotelli ameandika ujumbe kwenye ukurasa wa wake wa Twitter kuwa anataka apigwe busu na Malkia wa Uingereza endapo Italia itashinda dhidi ya Costa Rica leo, Brazil.
Mario Balotelli ameandika ujumbe kwenye ukurasa wa wake wa Twitter kuwa anataka apigwe busu na Malkia wa Uingereza endapo Italia itashinda dhidi ya Costa Rica leo, Brazil.
Mario Balotelli haachi kushangaza, na kichapo chake kipya kinaweza kuwa ndio kiboko kuliko vyote – ni baada ya kutuma ujumbe kuwa anataka busu (kiss)… kutoka kwa Malkia wa Uingereza.
Balotelli ambaye aliishi miaka mitatu nchini Uingereza akiwa na Manchester City amejichukulia mwenyewe kuihusudu Uingereza na kupendekeza kuwa anapaswa kupigwa busu – kwenye shavu kutoka kwa Kiongozi huyo Mkubwa, endapo Azzuri wakipata ushindi dhidi ya Costa Rica.
Ikiwa inaonekana Uingereza kuwa wanategemea Italia wawafunge Costa Rica siku ya Ijumaa na kisha Paraguay Juni 24, huku kikosi cha Hodgson kiwafunge Costa Rica kwenye mechi yao ya mwisho ya Kombe la Dunia ili wapenye kwa tofauti ya magoli, hakika ni mpango mkubwa ambao Balotelli anapaswa kuushughulikia.
Kazi kwako Mario, unazingua watu ila hapo kazi unayo, wala hatuko na wewe…

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni