Alhamisi, 12 Juni 2014
Wema Sepetu Afunguka Baada ya Kimya Kirefu kupitia akaunti yake ya Instagram
"Good morning instagramars ....hope you all well ..if y'all must know mimi ni mtu ambaye huwa nasomaga sana comments.... Na kama nimekosa kusoma comment yako ujue ni kwamba zinakuwa nyingi mno na nashindwa soma zote.... Ni kwa muda mrefu sana mnaniona nakaa tu kimya na sisemi chochote khs my friendship life... But mimi binafsi na muhusika ndo tunajua... saa nyingine mnaongea hadi nakereka but nakaa kimya... Nilitaka tu kusema mimi sina kinyongo na mtu... na kama kuisha mbona yalishaisha...Au ndo mlikuwa mnataka kuona bega kwa bega...? In my life siwekagi vinyongo... nyi wenyewe mnajua... So jus so u want to know hayo yalishapita na maisha yanaendelea... ni hayo tu... Have a good day everebadi...😜😜😜😘..."
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni