Jumamosi, 19 Julai 2014
JUX ATOA NGUO ZAKE ,,,, PICHA NA JINA LAKE
Jux atoa Nguo zenye jina na muonekano wake, kupitia Account yake ya Instagram Juma Jux alipost picha akiwa amevaa Vest yenye muonekano wake. Ni moja kati ya njia ya kuzidi kujitangaza, Pia zitaweza kumuingizia pesa kwa mauzo ya nguo hiyo.So Watanzania tupende vya kwetu.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni