Jumamosi, 19 Julai 2014
Madrid ndio Baba ya usajili baada ya kroos ,,,James Rodrigues huyo nae atua
Real Madrid wanatarajiwa kumaliza mpango wa kumleta Bernabeu mshindi wa kiatu cha dhahabu cha Kombe la Dunia James Rodriguez, kwa mujibu wa gazeti la Hispania AS.
Gazeti hilo la Madrid linadai kuwa mabingwa hao wa Ligi ya Mabingwa wameshakubaliana na mchezaji na sasa klabu hiyo inafanya mazungumzo na Monaco, ambao wanataka pauni milioni 63 (Tril.1.6) kwa mshambuliaji huyo wa Colombia.
Makubaliano hayajaenda sawa, ila Madrid wanategemea kumuuza winga Angel Di Maria kwa PSG wiki hii kwa pauni milioni 47 na hiyo inaweza kuharakisha mpango huo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni