Sports and Entertainment

Jumanne, 22 Julai 2014

Kala Jeremiah kufanya kolabo na nguli Dolly Parton

Hakuna maoni :

Baada ya “Simu ya Mwisho” kwenda vizuri sasa ni kitu kipya tena chanukia kutoka kwa Rappa Kala Jeremiah.
Dolly-Parton
Kwa kipindi hiki cha muda mfupi wasanii wa Tanzania wamekuwa na kiu sana ya kupiga hatua katika kazi zao za Muziki ili kuweza kutanua / kutangaza muziki wao kimataifa zaidi. Tumeona kwa Diamond akiwa amemshirikia Davido, Iyanya, Mafikizolo n.k Pia kwa msanii kama AY na Mwana Fa na J.Martin n.k. Sasa imefika zamu ya Kala na kwa upande wake amevuka anga mpaka Marekani na kuamua kufanya Collabo na Msanii “Dolly Parton” Kala ameeleza kuwa atafanya nae Remix ya “COAT OF MANY COLORS” tusubiri hiyo collabo
kala jeremiah

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni