Sports and Entertainment

Jumatatu, 14 Julai 2014

MAPIGANO ISRAEL YAINGIA SIKU YA SABA

Hakuna maoni :
buhi.
Maelfu ya watu wamekimbia makazi yao kaskazini mwa Gaza baada ya onyo kutolewa na Israel.
Jeshi la Israel lilidondosha vijikaratasi katika mji wa Beit Lahiya, likionya kuhusu mashambulio hayo.
Israel imeweka maelfu ya wanajeshi wake katika mpaka na Gaza na kutoa onyo huku ikijiandaa mashambulizi ya ardhini.
Makomando wa Israel wameendesha shambulio la kwanza la ardhini siku ya Jumapili, na kushambulia kituo kinachodhaniwa ni cha kurushia maroketi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni