Jumanne, 29 Julai 2014
Mjadala wa nani Mkali kati ya Diamond na Ali Kiba watua Simba Sports Club,,,makocha ,wachezaji watoana jasho kubishana
Mjadala uliopo kwenye mitaa na baadhi ya maskani za watu wengi japo kwa dakika tano ni mpambano usio rasmi kati ya Diamond na Ali Kiba.
Mpambano huo unaotengenezwa zaidi na mashabiki umetua katika mazoezi ya Simba ambapo wachezaji maarufu wa timu hiyo waliweka nukta ya mazoezi kwa muda na kuanzisha mjadala ‘wa nani mkali’ mjadala uliomhusisha kocha wa timu hiyo, Selemani Matonya.
Kwa mujibu wa gazeti la Championi, wachezaji hao na Kocha wao walijikuta wakianza kubishana (debate isiyo na msimamizi) huku Suleiman Matola, Uhuru Selemani, Awadh Juma na Twaha Ibraahim wakiwa upande wa Mwana Dar Es Salaam Ali Kiba, wengine waliohusika kwenye mjadala huo walichukua upande wa MdogoMdogo wa Diamond wakiwemo Said Ndemla na Abdallah Sisem
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni