Jumamosi, 26 Julai 2014
Nakumatt kuingia Mlimani City
Wauzaji wa reja reja wa kanda na wamiliki wa Nakumatt, watafungua milango ya tawi lao rasmi kesho Jumapili asubuhi lililopo katika duka kubwa la Mlimani City katika wilaya ya Kinondoni.
Tawi hilo jipya, litajulikana kama “Nakumatt Mlimani” litatoa huduma zenye manufaa kwa wateja wake wa jiji la Dar es Salaam.
Ufunguzi wa duka hilo utahudhuriwa na Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Mheshimiwa Janet Mbene.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni