Jumamosi, 26 Julai 2014
Ommy Dimpoz ajikanyaga kuhusu bifu lilitoka hisia za watanzania kati ya Diamond na Ali Kiba
Kwa Kile Kinachoonekana kuwa kuna Beef kati ya Diamond na Ali Kiba ya Kimuziki , Baada ya Ali Kiba Kuhojiwa na Kusema Kuwa hatakaa Aongee na Diamond..Diamond Ameandika Kwenye Insta Maneno Ambayo yanaonekana ni Jibu lake kwa Ali Kiba, Mchana huu tena Ommy dimpoz amepost Picha hizo apo chini akiashiria kuingila Ugomvi ama Bifu linaloendelea kati ya mahasimu hawa wawili,. Sasa swali ni je Ugomvi huu Ommy unamhusu vipi au ndio kuchochea ugomvi badala ya Kuhusuluisha... Wacha Movie Iendeleeeee
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni