Sports and Entertainment

Jumamosi, 26 Julai 2014

PEPE REINA : NITAGOMBANIA NAMBA

Hakuna maoni :

Mlinda mlango wa klabu ya Liverpool Pepe Reina 31, amedai kuwa yupo tayari kubaki katika klabu hiyo mara baada ya kumaliza msimu wa 2014/2015 akicheza kwa mkopo klabu ya Napoli.

Kipa huyo atajumuika na Brad Jones pamoja na chaguo la kwanza katika kikosi hicho Simon Mignolet katika msimu wa 2014/2015 ambao kikosi hicho kitashiriki ligi ya mabingwa ulaya maarufu kama Uefa Champions league.
Mara ya kwanza kipa huyo alihusishwa na tetesi za kurudi katika klabu za nchini Hispania ikiwa kama sehemu ya kumalizia kipaji chake lakini akakanusha habari hizo.
Kwa kudai kuwa angelifikiria hilo baada ya mkataba wake na ‘The Reds ‘ kufika tamati mwaka 2016.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni