Ijumaa, 18 Julai 2014
Vera Sidika aibukia Big Brother
Mwanadafada toka nchini Kenya aliyejizolea umaarufu mkubwa mitandaoni hasa kutokana na umbo lake,Vera Sidika, ametajwa kuwa miongoni mwa wakenya walioshiriki zoezi la usaili la kuwania nafasi ya kwenda kushiriki shindano la Big Brother nchini Afrika Kusini.
Shindanola Big Brother linatarajiwa kuanza rasmi mapema mwezi septemba mwaka huu mjini Johannesburg huku ukiwa ni msimu wake wa tisa tangu kuanzishwa kwake.
Hivi karibuni Vera Sidika alitangaza ujio wa programu yake itakayopatikana kwenye simu za Android itakayowawezesha mashabiki wake kupata taarifa zinazomuhusu na picha zake za utamu.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni