Jumatatu, 4 Agosti 2014
Bolt aendeleza ubabe wake
Bingwa wa michezo ya Olimpiki katika mbio za mita 100 Usain Bolt ameiongoza Jamaica kushinda medali ya dhahabu katika michezo ya Jumuiya ya Madola nchini Uskochi.
Bolt alikimbia mita 100 za mwisho baada ya kupokezwa kijiti ambapo Jamaica ilishinda kwa urahisi na kuweka rekodi mpya katika michezo hiyo ya sekunde 37.
Ambapo ndio medali ya kwanza ya mwanariadha huyo katika michuano hiyo iliyomalizika siku ya Jumapili.
Mbio hizo za kupokezana vijiti ndio zilizokuwa za mwisho na zenye msisimko mkubwa katika mpango.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni