Jumamosi, 2 Agosti 2014
Chris Brown amshambulia alie kuwa mpenzi wake
Mara baada Chris Brown kuachana na Kurrueche , mkaali huyo mwenye track inayosumbua Dunia kwasasa ya ‘Loyal’ iliyopo kwenye albam yake mpya ya X- File,ameamua kumshambulia Ex wake kwa kutumia maneno kwenye ukurasa wake wa twitter.
ter.
Staa huyo alidai kuwa hakupendezwa na kitendo cha Kurreche kwenda kufanya mahojiano na waandishi wa habari na
kuyaelezea maisha binafsi ya staa huyo na kumshtumu staa huyo kama mtu asiyekuwa mwaminifu katika uhusiano wao .
Pia staa huyo alimwambia Ex wake kuwa anapaswa kuwa mwangalifu sehemu anazoenda kuomba ushauri juu ya
mahusiano, kwasababu washauri wengine ni waongo na hawana uzoefu juu ya mapenzi.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni