Jarida la masuala ya afya la wanaume la nchini Uingereza kwenye toleo lake jipya limemtaja mwanaume aliyefiti zaidi duniani kutokana na vigezo vyao.
Mwanasoka bora wa dunia na mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo ndio ametajwa na jarida hilo kuwa mwanaume aliyefiti zaidi kimwili na hizi ni baadhi ya sababu kwanini wanaamini CR7 ni mwanaume aliyefiti zaidi….
-Ronaldo anakimbia kwa umbali wa zaidi ya maili 6 kwa mchezo mmoja
-Mwili wake una kiasi kidogo cha virutubisho vya mafuta mafuta vya fat
-Kwenye mechi moja – hukimbia kwa kasi ya maili 21 kwa saa 1.-Anaweza kupiga shuti ambalo uenda kwa kasi ya 80 mph
-Mwili wake una kiasi kidogo cha virutubisho vya mafuta mafuta vya fat
-Kwenye mechi moja – hukimbia kwa kasi ya maili 21 kwa saa 1.-Anaweza kupiga shuti ambalo uenda kwa kasi ya 80 mph
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni