Jumamosi, 2 Agosti 2014
Di Maria awatolea nje Man U
Inasemekana winga wa Real Madrid Angel di Maria yupo katika hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wake na kujiunga na mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Ufaransa, PSG.
Ambapo vilabu vya PSG na Real Madrid vimeshafanya makubaliano juu ya ada ya uhamisho ya pauni 45m sawa na (Tsh bilioni 112.5).
Pia winga huyo alikuwa akimezewa mate na kikosi cha Van Gaal ilikuziba nafasi za mawinga Ashley Young na Luis Nani ambao hawapo kwenye mipango ya kocha wa Man-U.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni