Jumamosi, 2 Agosti 2014
ndugu wa Oscar Pistorius, wanusurika kufa
Carl Pistorius, kaka wa mwanariadha na muuaji Oscar Pistorius, ameumia vibaya kwenye ajali ya gari, imeeleza familia yake.
Vyombo vya habari vya nchini Afrika Kusini vimeripoti kwamba kwa sasa yupo katika wodi ya watu mahututi baada ya kugonga kichwa kwenye ajali hiyo mjini Pretoria.
Tukio limetokea siku sita kabla ya kesi ya Oscar Pistorius ikitarajiwa kuendelea.
Oscar Pistorius anakataa kumuua aliyekuwa mpenzi wake Reeva Sreenkamp, akisema alimpiga riasi akidhani amevamiwa na jambazi.
Siku ya Ijumaa ilitangazwa kuwa mwanariadha huyo aliuza jumba lake la Pretoria amapo ndipo alikompiga risasi mpenzi wake ili aweze kulipa gharama za kisheria.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni