Sports and Entertainment

Jumanne, 5 Agosti 2014

Orodha ya wachezaji ghali Duniani mwaka huu

Hakuna maoni :

MchezajiKutokaKwendaJumla ya Ada
1Luis SuarezLiverpoolBarcelona€88m
2James RodriguezMonacoReal Madrid€80m
3David LuizChelseaParis Saint-Germain€49.5m
4Diego CostaAtletico MadridChelsea€44m
5Alexis SanchezBarcelonaArsenal€40m
6Luke ShawSouthamptonManchester United€37.8m
7Ander HerreraAthletic BilbaoManchester United€36.5m
8Romelu LukakuChelseaEverton€35.3m
9Cesc FabregasBarcelonaChelsea€33m
10Adam LallanaSouthamptonLiverpool€31.5m

Hiyo ndio listi ya wachezaji 10 ghali waliosajiliwa na vilabu tofauti mpaka sasa katika kipindi hiki cha majira ya joto, msimu wa 2014/2015.
Ambapo jumla ya kiasi cha euro milioni 439.8 ambazo ni sawa na (Tshs bilioni 967.56), ukitaka kujua ni kwa kiasi gani hizi pesa ni nyingi,

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni